Mahitaji hutofautiana kulingana na huduma. Mwongozo huu unakusaidia kujiandaa bila kupakia nyaraka nyeti kwenye tovuti.

Tumia kama mwongozo wa maandalizi tu. Mshauri atathibitisha nyaraka kamili zinazohitajika kwa huduma yako.
NIDA na nyaraka nyingine za utambulisho kulingana na huduma.
Bank au mobile-money statements, payslip, payroll au kumbukumbu za biashara kulingana na mwombaji.
Kadi ya gari, bima, valuation na nyaraka zinazohusika pale gari linapotumika kwenye ufadhili.
Quotation, invoice, nyaraka za uagizaji, ushuru au clearance kulingana na huduma.
TIN, leseni ya biashara, uthibitisho wa ajira au nyaraka nyingine zinazoweza kuombwa.
Kitambulisho cha ndugu/mdhamini au nyaraka nyingine zinaweza kuhitajika kulingana na tathmini.
Hapana. Kadi ya gari, uagizaji, yard, ushuru na mkopo wa watumishi vina mahitaji tofauti.
Fuata tu maelekezo rasmi ya kuwasilisha nyaraka. Usitume password au PIN.